Stella Nansikombi Makubuya

Mwanasheria wa Uganda



Stella Nansikombi Mukasa Makubuya (nee Stella Nansikombi), (alizaliwa tarehe 11 Novemba 1967 - alifariki 5 Septemba 2018)), alikuwa mwanasheria wa haki za binadamu wa Uganda, na mwanaharakati wa haki za wanawake ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika katika Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Wanawake (ICRW).[1] [2]

Stella Nansikombi Mukasa Makubuya
Amekufa 5 Semptemba 2018
Nchi Uganda
Majina mengine nee Stella Nansikombi
Kazi yake Mwanasheria na mwanaharakati

Marejeo hariri

  1. Mazinga, Mathias (17 September 2018). "Nansikombi Laid to Rest As Tributes Flow". New Vision. Kampala. Retrieved 25 February 2019.
  2. ActionAid (9 September 2018). "A Tribute to Stella Mukasa". Kampala: ActionAid Uganda. Retrieved 25 February 2019.
  1. https://www.newvision.co.ug/new_vision/news/1485856/nansikombi-laid-rest-tributes-flow
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-26. Iliwekwa mnamo 2022-02-28. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stella Nansikombi Makubuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.