Stella Saaka ni mwanaharakati wa haki za wanawake aliyejikita katika mji wa Talensi uliopo nyanda za juu kusini mwa Ghana. Inafahamika wanawake wa nyanda za juu kusini hukumbana na changamoto za umiliki wa ardhi. Yeye anajulikana kama mwanamke pekee aliyefanikiwa kuwashawishi viongozi wa kimila na desturi kutoa ardhi ya hekari 29 kwa ajili ya mashamba ya wanawake 30 kutokea mji wa Talensi. mnamo mwaka 2019, [1] alitunukiwa tuzo ya mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kutokea Ghana na Stephanie Sullivan aliyekua balozi wa Ulaya.

Stella Saaka
Amezaliwa
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake mwanaharakati

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stella Saaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.