Stephen Dunn (amezaliwa 1939) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2001 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Stephen Dunn, 2012

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Dunn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.