Steven Maxwell "Steve" Porcaro (amezaliwa 2 Septemba 1957, mjini Hartford, Connecticut) ni mpigaji kinanda na mtunzi wa nyimbo ambaye alikuwa mwanachama halisi wa bendi ya muziki wa rock/pop, Toto.

Steve Porcaro

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Steven Maxwell Porcaro
Amezaliwa 2 Septemba 1957 (1957-09-02) (umri 67)
Asili yake Hartford, Connecticut, Marekani
Kazi yake Mpigaji kinanda na mtunzi
Ala Kinanda
Ame/Wameshirikiana na Toto

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steve Porcaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.