Steve Shirley
Dame Vera Stephanie "Steve" Shirley CH, DBE, FREng, DFBCS (alizaliwa 16 Septemba 1933) ni mwasisi katika teknolojia ya habari, mfanyabiashara na mfadhili (alipata uraia wa Uingereza mwaka 1951).[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Beaty, Zoe. "The 85-year-old tech entrepreneur who made her staff millionaires", 14 June 2019.
- ↑ Smale, Will. "I just got fed up with the sexism. It was everywhere", BBC News, 17 June 2019.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Steve Shirley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |