Steven Pruitt (amezaliwa Aprili 17, 1984) ni mhariri wa Wikipedia wa Marekani mwenye namba kubwa ya uhariri iliyotengenezwa kwa Wikipedia ya Kiingereza, zaidi ya milioni 5, baada ya kufanya hariri angalau moja hadi theluthi moja ya nakala zote za Wikipedia ya Kiingereza.[1][2][3] Ametengeneza pia nakala zaidi ya 33,00 za wikipedia.[3]

Steven Pruitt

Steven Pruitt mnamo 2022.
Amekufa Aprili 17, 1984
Nchi Marekani

Marejeo hariri

  1. "Wikipedia Is Basically a Massive RPG | WIRED". web.archive.org. 2021-01-15. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-15. Iliwekwa mnamo 2022-09-30. 
  2. Jesse Rifkin (2021-11-24). "Time Magazine Named Steven Pruitt One of the Most Influential People on the Internet–Just For His Wikipedia Edits". Northern Virginia Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-30. 
  3. 3.0 3.1 "Meet the man behind a third of what's on Wikipedia". www.cbsnews.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-30.