Steven Spielberg
Steven Allan Spielberg (amezaliwa Cincinnati, Ohio, 18 Desemba 1946) ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani.
Steven Spielberg | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Steven Allan Spielberg |
Alizaliwa | 18 Desemba 1946 |
Kazi yake | Mwongozaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1968–hadi leo |
Ndoa | Amy Irving (1985–89) Kate Capshaw (1991– ) |
Alianza kujipatia umaarufu miaka ya 1980, baada ya kuongoza na kutaarisha mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Baadaye akaja na mfululizo wa filamu ya Jurassic Park.
Vilevile Steve amewahi kushinda tuzo mara tatu ya Academy Award, kama mwongozaji na mtayarishaji bora wa filamu.
Pia Steve ni miongoni mwa waongozaji wa filamu na watengenezaji wanaosifika kwa kutumia gharamama kubwa za utengenezaji wa filamu duniani.
Filamu alizoongoza na kutayarisha
hariri- Indiana Jones 4 (2007)
- Dhil Maree Tur Teener Chale (2006)
- Munich (film)|Munich (2005)
- War of the Worlds (2005 film)|War of the Worlds (2005)
- The Terminal (2004)
- Catch Me If You Can (2002)
- Minority Report (2002)
- A.I.: Artificial Intelligence (2001)
- Saving Private Ryan (1998) (Academy Award, Best Director)
- The Lost World: Jurassic Park (1997)
- Amistad (1997)
- Schindler's List (1993) (imepata tuzo ya Academy Award, kama filamu bora na mwongozaji bora wa filamu)
- Jurassic Park (film)|Jurassic Park (1993)
- Hook (1991)
- Indiana Jones and the Last Crusade (1989)
- Always (1989)
- Empire of the Sun (1987)
- The Color Purple (1985)
- Indiana Jones and the Temple of Doom (1984)
- Twilight Zone: The Movie (1983) segment: Kick the Can
- E.T. the Extra-Terrestrial (1982)
- Raiders of the Lost Ark (1981)
- 1941 (1979)
- Close Encounters of the Third Kind (1977)
- Jaws (1975)
- The Sugarland Express (1974)
Ona pia
haririViungo vya nje
hariri- Steven Spielberg at the Internet Movie Database
- Steven Spielberg katika TCM Movie Database
- Steven Spielberg katika SensesOfCinema.com
- *Steven Spielberg Bibliography (via UC Berkeley)
- Official Website of Dreamworks Ilihifadhiwa 2 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.
- Survivors of the Shoah Visual History Foundation (founded by Spielberg)
- TIME 100: Steven Spielberg
- They Shoot Pictures, Don't They?
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Steven Spielberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |