Stuli (kutoka Kiingereza "stool") ni kiti kisicho na kiegemeo kwa mgongo na mikono kilichotengenezwa kwa mbao au plastiki na hukaliwa na mtu mmoja tu. Kuna aina nyingi ya stuli ambazo hutumika mahali mbalimbali.

Stuli ya miguu mitatu.
Stuli za plastiki.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.