Stumai Athumani

Mcheza wa mpira wa miguu Tanzania

Stumai Abdallah Athumani, (alizaliwa 25 Agosti 1997), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya JKT Queens na Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania.[1]

Stumai Abdallah Athumani
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 25 Agosti 1997
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania

* Magoli alioshinda

Ushiriki Kimataifa

hariri

Mnamo mwaka 2018, Stumai Athumani aliitwa kwenye Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania. Alifunga bao moja katika harakati zao za kutwaa Ubingwa wa Kombe la CECAFA la Wanawake 2018 kwa kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Ethiopia.[2][3]

[4][1] Stumai Athumani alichaguliwa katika kikosi cha kwanza cha Tanzania katika mashindano ya Wanawake ya COSAFA 2021.[5]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Saddam, Mihigo. "CECAFA WOMEN 2018: Tanzania yatwaye igikombe ku nshuro ya kabiri yikurikiranya-AMAFOTO - Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-27.
  2. "Five nations confirm participation in 2018 Cecafa Women's Championship". JWsports1 (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2018-07-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Video: Tanzania pull stunning comeback to retain Cecafa title". JWsports1 (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2018-07-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Isabirye, David (2018-07-28). "Tanzania humbles Ethiopia to win 2018 CECAFA Women title". Kawowo Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
  5. "Tanzania go for youth at 2021 COSAFA Women's Championship". COSAFA. 20 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stumai Athumani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.