Suad Sulieman (Kiarabu: سعاد سليمان) ni mtaalamu wa parasitolojia kutoka Sudan ambaye ameandika machapisho mengi. Anashiriki kikamilifu katika kutatua masuala mbalimbali ya afya kama mwanachama wa Chuo cha Sayansi cha Kitaifa cha Sudan (SNAS) [1]

Suad anashikilia nafasi ya mhazini katika Chuo cha Sayansi cha Kitaifa cha Sudan, kilichoanzishwa mwezi Agosti 2005 na kikundi cha wanasayansi wa Sudan [[2]].

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suad Sulaiman kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Suad Sulaiman: "Knowing what happened with COVID-19, we need to deal with monkeypox seriously." | FEAM". www.feam.eu. Iliwekwa mnamo 2023-12-04.
  2. Nordling, Linda (2019-03-11). "Renowned Sudanese geneticist behind bars for opposing regime". Science. doi:10.1126/science.aax2972. ISSN 0036-8075.