Sufasar ulikuwa mji wa Dola la Roma, kaskazini mwa Afrika. Sufasar ulipotea kipindi cha utawala wa Kiislamu wa Maghreb. Sehemu inajulikana kwa magofu yake ya Amourah, katika Algeria ya sasa.[1]

Dola la Roma - Mauretania Caesariensis (125 AD).

Marejeo

hariri
  1. Sufasar, at GCatholic.org.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sufasar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.