Sufuria

Sufuria ni chombo ambacho kinatumika kupikia vyakula mbalimbali kama maharage, wali na vinginevyo moja kwa moja katika moto.

Sufuria za chuma kisichopatwa na kutu.
Chakula kikipikwa kwenye sufuria

Inaweza kuwa na ukubwa na ujazo mbalimbali.