Sumu la penzi ni tamthilia ya Kiswahili kutoka nchini Kenya.

Sumu la penzi
Aina Tamthilia
Imetungwa na Mwende Ngao
Wabunifu wakuu Dorothy Ghettuba
Jina la kufungulia kipindi "Sumu la Penzi"
Nchi inayotoka Kenya
Lugha Kiswahili
Ina misimu 4
Ina sehemu Nairobi
Utayarishaji
Watayarishaji
wakuu
Carol Odongo
Sehemu Nairobi
Muda makisio ni dk. 22
Urushaji wa matangazo
Kituo Africa Magic Swahili
Viungo vya nje

Imetayarishwa na kampuni Spielswork Media na msimamizi mkuu ni Dorothy Ghettuba, ikiwashirikishwa waigizaji wafuatao: Serah Ndanu, Naomi Ng'ang'a, Avril Nyambura na Joyce Maina.

Wahusika

hariri
  • Serah Ndanu[1] - Mariam
  • Naomi Ng'ang'a - Ama
  • Avril Nyambura - Eva
  • Joyce Maina[2] - Tindi[3]
  • Davidson Ngibuini[4] - Tash
  • Pieter Desloovere - Hans
  • Peter Kawa - Oscar
  • Norbert Ouma - Solomon
  • Peterson Gathambo - Martin
  • Bilal Ndegwa - Mr Rent
  • Sherylene Mungai - Debrah
  • Lucy Waigera - Olive
  • Nina Adegala - Cynthia
  • Antony Makau - Mwanabiashara Mwenza[5]

Marejeo

hariri
  1. "Serah Ndanu flexes her muscles". africamagic.dstv.com. Africa Magic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-06. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sue Watiri. "Sumu la Penzi's Tindi has got it". ghafla.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-03. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Interview Sumu la penzi's Tindi". africamagic.dstv.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-13. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Meet heart throb tash played by DNG". africamagic.dstv.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-13. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Faced by Antony Makau". faces.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-05. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)