Naomi Ng'ang'a
Naomi Wambui Ng'ang'a (mara nyingine hufaHamika kwa jina la Neomi Ng'ang'a; amezaliwa 5 Oktoba 1987) ni mwigizaji, mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio nchini Kenya.
Maisha ya awali
haririKazi
haririAlianza kuonekana kwenye tasnia ya burudani katika filamu ya Tahidi High. Uhusika wake katika filamu hii ndio uliompa umaarufu. Mwaka 2011, alikuwa mmojawapo wa wahusika wakuu katika maonyesho ya televisheni ya, Demigods.[1] Mwaka 2013, alikuwa mmoja kati ya wahusika wanne kwenye soap opera, Sumu la penzi.[2] Alishiriki pamoja na Serah Ndanu, Avril Mwangi na Joyce Maina. Mwaka 2014 alikua mhusika katika filamu ya Fundi-Mentals.[3] kutoka mwezi wa saba 2015, ni muandaaji wa StarTimes Swahili talk show, Sema Nami.[4] tofauti na kuwa msanifu wa televisheni , pia ni mtangazaji wa redio One FM.[5][6]
Filamu
haririFilamu na Televisheni
haririMwaka | Kazi | Uhusika | Maelezo | Chanzo |
---|---|---|---|---|
???? | Tahidi High | Mhusika wa kawaida | ||
2008 – 11 | Wash and Set | Mhusika mkuu | ||
2010 – 11 | Noose of Gold | Madeline | Mhusika mkuu | |
2011 | Demigods | Mhusika mkuu | [1] | |
Shattered | 65-year-old woman | Filamu | ||
2011-2014 | Lies that Bind | Mama Sweetie | Mhusika wa kawaida | [7] |
2013–present | Sumu la penzi | Ama | Mhusika mkuu | [8] |
2014 | Fundi-Mentals | Mhusika mkuu | ||
2014 | Risper | Mrs. Tembo | Maonyesho ya mtandaoni | |
2015–mpaka sasa | Sema Nami | Pekeyake | Mtayarishaji | [9] |
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Demigods". kenyantelevisionproductions.blogspot.com. Iliwekwa mnamo Oktoba 10, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Unmasking Sumu la Penzi's femmes fatales". spielworksmedia.com. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Check out photos from the Fundi-mentals movie premier in Nairobi". kiss100.co.ke. Kiss FM. Februari 18, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-19. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Curvaceous One FM presenter lands TV talk show". niaje.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-29. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sexy Sumu La Penzi actress lands a job at One FM". ghafla.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Neomi Ng'ang'a is new face of Wambui Mukenyi". ghafla.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-28. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lies that Bind Naomi Ng'ang'a". spielworksmedia.com. Iliwekwa mnamo Novemba 26, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sumu La Penzi". giftedkidskenya.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 22, 2015. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tonny Ndung'u. "Sema nami". ghafla.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-06. Iliwekwa mnamo Oktoba 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naomi Ng'ang'a kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |