Susan Florence Anspach (Novemba 23, 1942Aprili 2, 2018) alikuwa muigizaji wa Marekani maarufu kwa kazi yake kwenye jukwaa, filamu, na televisheni.

Alijulikana kwa kushiriki katika filamu kadhaa maarufu za miaka ya 1970 na 1980, ikiwa ni pamoja na Five Easy Pieces (1970), Play It Again, Sam (1972), Blume in Love (1973), Montenegro (1981), Blue Monkey (1987), na Blood Red (1989).[1]

Marejeo

hariri
  1. Haring, Bruce (Aprili 5, 2018). "Susan Anspach Dies: 'Five Easy Pieces' & 'Play It Again, Sam' Actress Was 75". Deadline Hollywood. Los Angeles, California: Penske Media Corporation. Iliwekwa mnamo Februari 26, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susan Anspach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.