Suzanne Jambo

Mwanasiasa na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Sudan Kusini

Suzanne Jambo ni mwanasiasa, mwanasheria, na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Sudan Kusini.[1][2]

Suzanne alipata shahada ya sheria ya umma kutoka chuo kikuu cha Buckingham, Uingereza

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzanne Jambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.