Svante Arrhenius

mswidish mkemia na phastronomerysicist

Svante Arrhenius (19 Februari 18592 Oktoba 1927) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uchanganuaji dutu kwa nguvu za umeme (elektrolisisi). Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Svante Arrhenius

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Svante Arrhenius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.