Swala Mrukaji
Swala Mrukaji (Antidorcas marsupialis)
Swala Mrukaji
(Antidorcas marsupialis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Antilopinae (Wanyama wanaofanana na swala)
Zimmermann, 1780
Jenasi: Antidorcas
Spishi: A. marsupialis


Swala Mrukaji (Antidorcas marsupialis) ni swala anayepatikana hasa kusini na kusini magharibi mwa Afrika.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swala Mrukaji kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.