Swala mweusi
Swala mweusi (Antilope cervicapra)
Swala mweusi
(Antilope cervicapra)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Antilopinae (Wanyama wanaofanana na swala)
Linnaeus, 1758
Jenasi: Antilope
Spishi: A. cervicapra

Swala mweusi (Antilope cervicapra), anayejulikana pia kama swala wa India, ni swala wa ukubwa wa kati mzaliwa wa India na Nepal.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swala mweusi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.