Sybil P. Seitzinger

Sybil P. Seitzinger ni mwanasayansi wa masuala ya bahari na hali ya hewa katika Taasisi ya Pasifiki ya Suluhu za Hali ya Hewa. Anajulikana kwa utafiti wake juu ya mabadiliko ya hali ya hewa [1].

Marejeo hariri

  1. "Seitzinger CV from Rutgers era". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-06. Iliwekwa mnamo 2023-05-20. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sybil P. Seitzinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.