Sydney Brenner

Mwanabiolojia wa Afrika Kusini, Tuzo za Nobel katika Fiziolojia au Tiba 2002

'

Sydney Brenner
Sydney Brenner
Amezaliwa13 Januari, 1927
Kazi yakemwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini


Sydney Brenner (amezaliwa 13 Januari, 1927) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa alichunguza msimbo wa kijenetikia. Mwaka wa 2002, pamoja na Robert Horvitz na John Sulston, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sydney Brenner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.