Robert Horvitz

Tuzo ya Nobel ya Tiba

Robert Horvitz (amezaliwa 8 Mei, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza msimbo wa kijenetikia. Mwaka wa 2002, pamoja na Sydney Brenner na John Sulston, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Howard Robert Horvitz (2003)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Horvitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.