Tōko Koga (alizaliwa6 Januari 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya Eredivisie Feyenoord pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tōko Koga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.