Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza
(Elekezwa kutoka TUKI-SED)
KKK/SED ni kifupi cha "Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza" (Swahili-English Dictionary) iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mwaka 2001.
Kamusi hiyo inataja maana za Kiingereza kwa maneno zaidi ya 50,000 ya Kiswahili.
Marejeo
hariri- Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (KKK) (imetungwa TUKI, Dar es Salaam 2001)
Viungo vya nje
hariri- Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (TUKI) online Ilihifadhiwa 20 Juni 2014 kwenye Wayback Machine.