Taasisi ya Usimamizi wa Mazingira Gujarat

Taasisi ya Usimamizi wa Mazingira Gujarat ni taasisi ambayo iko chini ya Forests and Environment Department ya serikali ya Gujarat.Ilianzishwa mnamo 1999 na kujikita katika hususani utunzaji,ulindaji na usimamizi wa mazingira na kushiriki katika masomo na utafiti.[1]

Marejeo hariri

  1. "Gujarat Environment Management Institute - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.