Tad Mosel (1 Mei 192224 Agosti 2008) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1961, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake All the Way Home.

Faili:Tadmosel.jpg
Tad Mosel, 1987
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tad Mosel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.