Taktouka
Taktouka Ni chakula cha kitamaduni ya Morocco kilichotengenezwa na nyanya, pilipili hoho, vitunguu saumu, paprika na mafuta ya mizeituni.[1][2][3]
Muhtasari
haririTaktouka hutengenezwa kutokana na nyanya, pilipili hoho, paprika, kitunguu saumu, na viungo mbalimbali.Hutayarishwa kwa kusaga viungo vyote au kwa kuvikata vipande vidogo.Taktouka hutumiwa wakati wa misimu yote ya mwaka[4].Huandaliwa pamoja na mezze na vyakula vingine.Kwa kawaida huliwa pamoja na mikate.[5]
Marejeo
hariri- ↑ "Taktouka Is a Zesty Moroccan Dip of Tomatoes and Roasted Peppers". The Spruce Eats (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
- ↑ "Taktouka With Burrata and Lime-Parsley Oil Recipe". NYT Cooking (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
- ↑ Wynn, Louise (2020-12-13). Moroccan Cookbook: Traditional Moroccan Cuisine, Delicious Recipes from Morocco that Anyone Can Cook at Home (kwa Kiingereza). Independently Published. ISBN 979-8-5809-3548-5.
- ↑ Wolfert, Paula (2012-01-01). The Food of Morocco (kwa Kiingereza). A&C Black. ISBN 978-1-4088-2746-8.
- ↑ Zineb Bourchouk-Morocco World News. "Moroccan Recipes 101: Taktouka". https://www.moroccoworldnews.com/ (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=