Tamally Maak (albamu)

Tamally Maak (Kiarabu : تملي معاك ) pia huitwa Tamally Ma'ak au Tamalli ma'ak ni jina la albamu iliyotoka 2000 kutoka kwa msanii Amr Diab. Albamu ina wimbo mkali uliopendwa kimataifa wenye jina sawa na albamu. Albamu imepata mafanikio makubwa sana huko Mashariki ya Kati na duniani, ikawa moja kati ya albamu bora ya Kiarabu kwa muda wote.

Tamally Maak
تملي معاك
Tamally Maak تملي معاك Cover
Studio album ya Amr Diab
Imetolewa Julai 8, 2000
Imerekodiwa 1999-2000
Aina Arabic pop, latin pop, latin rock, latin ballad
Urefu 43:03
Lebo Alam El Phan
Mtayarishaji Mohsen Gaber
Wendo wa albamu za Amr Diab
Amarain
(1999)
"Tamally Maak"
(2000)
Aktar Wahed
(2001)

Orodha ya nyimboEdit

  1. el-Alim Allah (العالم الله)
  2. Tamally Maak (تملي معاك)
  3. Keda Eyni Eynak (كده عيني عينك)
  4. Wu He Amla Eh (وهي عاملة إيه)
  5. Seneen (سنين)
  6. A'mel Eh (أعمل إيه)
  7. Law Kan Yerdheek (لو كان يرضيك)
  8. Ba'tarif (بعترف)
  9. Albi Ekhatark (قلبي اختارك)
  10. Sa'ban Alayya (صعبان عليا)