Tampa, Florida
(Elekezwa kutoka Tampa)
Tampa ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 14 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Tampa | |||
| |||
Mahali pa mji wa Tampa katika Marekani |
|||
Majiranukta: 27°58′15″N 82°27′53″W / 27.97083°N 82.46472°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Florida | ||
Wilaya | Hillsborough | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 336,823 | ||
Tovuti: www.tampagov.net |
Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tampa, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |