Tamsya
Tanzania Muslimu Student and Youth Association (TAMSYA) ni asasi isiyo ya kiserikali ya wanafunzi na vijana wa Kiislamu iliyosajiliwa mwaka 2010 [1]. Asasi hiyo hapo mwanzo ilikuwa ikijulikana kama TAMSA[2] wakati ikianzishwa mwaka 1993 kwa malengo ya kuwaunganisha wanafunzi wa Kiislamu pamoja na vijana wa Kiislamu huku malengo yake makuu ikiwa ni kutoa msaada wa kiroho na wa kijamii.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |