Tapa (utarakilishi)

Katika utarakilishi, tapa (kwa Kiingereza: Tag) ni neno msingi linalotolewa na kipande cha taarifa (kwa mfano, alamisho mtandao, taswira tarakimu, kumbukumbu za hazinadata au jalada tarakilishi).

Wingu maneno au wingu tapa wa maneno kuhusiana na Web 2.0.

Tapa inarahisisha utafutaji wa taarifa kwenye mtandao.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).