Tara O'Hanlon
Tara O'Hanlon (alizaliwa 14 Machi 2005) [1]ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka [[Eire] ambae anacheza kama beki wakati wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Eire kwa walio na umri chini ya miaka 23.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tara O'Hanlon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |