Taryn Swiatek (amezaliwa Calgary, Alberta, 4 Februari 1981) [1] ni mchezaji wa mpira wa miguu mstaafu kutoka Kanada.

Swiatek alicheza kama mlinda mlango katika timu ya taifa ya wanawake ya Kanada, ambayo ilimaliza nafasi ya nne katika mashindano ya Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2003.[2][3][4][5]

Marejeo

hariri
  1. Profile of Taryn Swiatek by the Canadian Soccer Association Archived 2005-11-23 at the Wayback Machine; URL last accessed February 22, 2006.
  2. Maxwell, Cameron, Kigezo:Usurped, Calgary Sun, Canadian Online Explorer, January 27, 2002.
  3. Taryn Swiatek announces her retirement Ilihifadhiwa 20 Agosti 2016 kwenye Wayback Machine. Canada Soccer, January 30, 2008.
  4. "Profile of Taryn Swiatek by Ottawa Fury" Archived 2006-03-28 at the Wayback Machine; URL last accessed February 22, 2006.
  5. Kotarski, Kotarski. "Former Dino earns award". University of Calgary. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 28, 2005. Iliwekwa mnamo Machi 1, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taryn Swiatek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.