Tushrique Moegamat Golgman (alizaliwa tarehe 21 Mei 1987 huko Port Elizabeth) ni gilikipa wa timu ya Milano United huko Afrika Kusini ambaye inashiriki ligi daraja la kwanza.[1]

Marejeo

hariri
  1. "South Africa – T. Goldman – Profile with news, career statistics and history – Soccerway". int.soccerway.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-06-05.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tashrique Goldman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.