Tattoo You ni albamu ya kundi la muziki la The Rolling Stones. Albamu iltolewa mnamo mwaka wa 1981. Ilioyofuata ilikuwa inaitwa Emotional Rescue, imehakikiwa kuwa ni albamu iliyofanya vizuri katika mauzo na ilifamika kuliko. Pia kuwa kama albamu ambayo ilfanya vizuri katika historia ya muziki kwa kundi la The Rolling Stones.

Tattoo You
Tattoo You Cover
Studio album ya The Rolling Stones
Imetolewa 24 Agosti 1981
Imerekodiwa Novemba 1972 –
Juni 1981
Aina Albamu ya Rock
Urefu 44:23
Lebo Rolling Stones/Virgin
Mtayarishaji The Glimmer Twins
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za The Rolling Stones
Sucking in the Seventies
(1981)
Tattoo You
(1981)
"Still Life" (American Concert 1981)
(1982)


Nyimbo zilizopo

hariri

Nyimbo zote na Mick Jagger na Keith Richards, kasoro zile zilizo wekwa alama tu.

  1. "Start Me Up" – 3:32
  2. "Hang Fire" – 2:21
  3. "Slave" – 6:33
  4. "Little T&A" – 3:23
  5. "Black Limousine" (Mick Jagger/Keith Richards/Rkatikanie Wood) – 3:31
  6. "Neighbours" – 3:31
  7. "Worried About You" – 5:17
  8. "Tops" – 3:45
  9. "Heaven" – 4:22
  10. "No Use in Crying" (Mick Jagger/Keith Richards/Rkatikanie Wood) – 3:25
  11. "Waiting on a Friend" – 4:34

Wahusika

hariri

Single

hariri
  • Start Me Up
  • Little T&A
  • Hang Fire
  • Waiting on a Friend

Albamu

hariri
Mwaka Chati Cheo
1981 UK Top 100 Albums 2
1981 Billboard Pop Albums 1
1981 Australian ARIA Albums Chart 1

Single

hariri
Mwaka Single Chati Cheo
1981 "Start Me Up" The Billboard Hot 100 2
1981 "Start Me Up" Mainstream Rock Tracks 1
1981 "Start Me Up" UK Top 75 Singles 7
1981 "Start Me Up" Club Play Singles 14
1981 "Little T&A" Mainstream Rock Tracks 5
1981 "Hang Fire" Mainstream Rock Tracks 2
1981 "Waiting on a Friend" Mainstream Rock Tracks 8
1981 "Waiting on a Friend" UK Top 75 Singles 50
1982 "Waiting on a Friend" The Billboard Hot 100 13
1982 "Hang Fire" The Billboard Hot 100 20