Tatuzi zinazotegemea uasilia
Tatuzi zinazotegemea uasilia (kwa Kiingereza: Nature-based solutions) ni neno ambalo hurejelea usimamizi na matumizi endelevu ya vipengele asilia katika kukabiliana na changamoto za kijamii na za kimazingira. Changamoto hizo ni pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa, usalama wa maji, uchafuzi wa maji, usalama wa chakula, afya ya binadamu, upotevu wa viumbehai na udhibiti wa hatari za maafa.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tatuzi zinazotegemea uasilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |