Taulo
Taulo (kutoka Kiingereza "towel") ni kitambaa aghalabu ya pamba kinachotumiwa kufuta maji hasa baada ya kuoga kwa sababu nyuzinyuzi zake zinaweza kunyonya na kukausha mwili.
Kuna aina nyingi za taulo, kama vile taulo ya kufutia maji na taulo ndogo ya kuoshea vyombo baada ya kula.
Matumizi ya taulo
hariri- 1) Kujifutia maji.
- 2) Kufuta vyombo.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taulo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |