Taunus ni eneo la milima katika jimbo la Hessen huko Ujerumani kusini magharibi.

Ramani ya Taunus

Mlima mkubwa ni Großer Feldberg, wenye kimo cha mita 882.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Taunus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.