Teddy Louise Kasela-Bantu

Teddy Louise Kasela-Bantu (amezaliwa 8 Juni, 1950) ni mbunge wa jimbo la Bukene katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Teddy Louise Kasela-Bantu (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.