"Tell Me It's Real" ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na waimbaji wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, K-Ci & JoJo. Kibao hiki kilitayarishwa kwa ajili ya albamu ya pili ya K-Ci & JoJo, It's Real (1999).

“Tell Me It's Real”
Single ya K-Ci & JoJo
kutoka katika albamu ya It's Real
Imetolewa Aprili 27, 1999 (1999-04-27)
Muundo Digital download, CD
Aina R&B
Urefu Toleo Halisi 4:38
Toleo la Redio 3:40
Studio MCA
Mtunzi Rory Bennett Rory, Joel Hailey
Mwenendo wa single za K-Ci & JoJo
"Life"
(1999)
"Fee Fie Foe Fum"
(1999)

Utendaji wake katika chati

hariri
Chati (1999) Nafasi
ya chati
Netherlands (Mega Single Top 100)[1] 13
New Zealand (RIANZ)[2] 4
UK Singles (The Official Charts Company)[3] 16
US Billboard Hot 100[4] 2
US R&B/Hip-Hop Songs (Billboard)[4] 2
US Rhythmic Top 40 (Billboard)[4] 5

Marejeo

hariri
  1. "Dutchcharts.nl – K-Ci & JoJo – Tell Me It's Real" (in Dutch). Mega Single Top 100. Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved July 11, 2011.
  2. "Charts.org.nz – K-Ci & JoJo – Tell Me It's Real". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved July 11, 2011.
  3. "Chart Stats – K-Ci And JoJo – Tell Me It's Real {2000}" UK Singles Chart. Chart Stats. Retrieved July 11, 2011.
  4. 4.0 4.1 4.2 "allmusic ((( It's Real – K-Ci & JoJo > Charts & Awards > Billboard Singles )))". Allmusic. Rovi Corporation. Iliwekwa mnamo Julai 11, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

hariri