Temeke (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Temeke inaweza kumaanisha
- Wilaya ya Temeke, ni kitengo cha Jiji la Dar es Salaam chenye hadhi ya manisipaa
- Temeke, kata ndani ya wilaya ya Temeke
- Temeke (Masasi), kata ya Masasi mjini, Mkoa wa Mtwara, Tanzania