Wilaya ya Temeke ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000.

Mahali pa Temeke (kijani cheusi) katika mkoa wa Dar es Salaam.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 1,346,674 [2].

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2010-10-30.
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania  

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka