Temwa Chawinga

mwanasoka wa Malawi

Temwa Chawinga, (alizaliwa 20 Septemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Wuhan Jianghan University FC na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.

Temwa Chawinga
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 20 Septemba 1998
Mahala pa kuzaliwa    Lilongwe, Malawi
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Maisha binafsi hariri

Dada yake Tabitha Chawinga pia ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Malawi.[1]

Marejeo hariri

  1. Ahmadu, Samuel (6 March 2021). "Chawinga: Tabitha joins Malawian sister Temwa at Wuhan". Goal.com. Goal. Iliwekwa mnamo 6 August 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Temwa Chawinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.