Tennessee Claflin
Tennessee Celeste Claflin, Viscountess of Montserrat (26 Oktoba 1844 – 18 Januari 1923) pia alijulikana kama Tennie C., alikuwa mtetezi wa haki za wanawake kutoka Marekani, ambaye alijulikana zaidi kama mwanamke wa kwanza, pamoja na dada yake Victoria Woodhull, kufungua ofisi ya udalali ya Wall Street, jambo lililotokea mwaka 1870.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Greenspan, Jesse (23 Septemba 2013). "9 Things You Should Know About Victoria Woodhull". History.com. A&E Television Networks, LLC. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tennessee Claflin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |