Teyah Doreen Bliss Goldie (alizaliwa 27 Juni 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye kwa sasa anachezea Arsenal ya FA(WSL) na timu ya taifa ya Uingereza ya walio na umri chini ya miaka kumi na tisa.[2]

Marejeo hariri

  1. "Teyah Goldie". ESPN. Iliwekwa mnamo 23 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Teyah Doreen Bliss Goldie". UEFA. Iliwekwa mnamo 23 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teyah Goldie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.