That's the Way It Is

"That's the Way It Is" ni single kiongozi katika albamu ya Céline Dion ya muziki mchanganyiko ya All the Way… A Decade of Song, iliyotolewa mnamo tar. 1 Novemba 1999.[1]

“That's The Way It Is”
“That's The Way It Is” cover
Single ya Céline Dion
kutoka katika albamu ya All the Way… A Decade of Song
Imetolewa 1 Novemba 1999
Muundo CD single, 12" single
Imerekodiwa Paradise Sounds, Cheiron Studios
Aina Pop
Urefu 4:01
Studio Columbia, Epic
Mtunzi Max Martin, Kristian Lundin, Andreas Carlsson
Mtayarishaji Max Martin, Kristian Lundin
Certification Platinamu (Sweden)
Dhahabu(Australia, Ubelgiji, Ujerumani)
Fedha(Ufaransa)
Mwenendo wa single za Céline Dion
"Dans un autre monde"
(1999)
"That's the Way It Is"
(1999)
"Then You Look at Me"
(1999)

Ilitungwa na kutayarishwa chini ya kikosi cha watayarishaji wa Kisweden Max Martin na Kristian Lundin, ambao wamewahi kuandika vibao vikali vya wasanii kama vile 'N Sync, Backstreet Boys na Britney Spears[2] Céline Dion aliimba wimbo huu laivu na kundi zima la muziki wa pop na R&B la 'N Sync, wakati wa kipindi chake maalum cha TV ya CBS mnamo 1999.

Pia alishawahi kuumba wimbo huu tena wa "That's the Way It Is" kunako 1999 wakati wa ugawaji wa Tuzo za Billboard maarufu kama Billboard Music Awards na pia mwishoni mwa sherehe za Let's Talk About Love Tour.

Muundo na orodha ya nyimbo

hariri

Australia/Ulaya/Japani/UK CD single

  1. "That's the Way It Is" – 4:01
  2. "I Met an Angel (On Christmas Day)" – 3:20

Australian/Ulaya/UK CD maxi single

  1. "That's the Way It Is" – 4:01
  2. "I Met an Angel (On Christmas Day)" – 3:20
  3. "My Heart Will Go On" (live) – 5:23

UK CD maxi single #2

  1. "That's the Way It Is" – 4:01
  2. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
  3. "Another Year Has Gone By" – 3:24

U.S. CD maxi single

  1. "That's the Way It Is" – 4:01
  2. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
  3. "I Want You to Need Me" (Thunderpuss radio mix) – 4:32
  4. "I Want You to Need Me" (Thunderpuss club mix) – 8:10

Toleo rasmi

hariri
  1. "That's the Way It Is" (Metro mix edit) – 3:12
  2. "That's the Way It Is" (Metro mix) – 3:20
  3. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
  4. "That's the Way It Is" (toleo la albamu) – 4:01
Chati (1999) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart[3] 14
Austrian Singles Chart[4] 8
Belgian Flanders Singles Chart[5] 17
Belgian Wallonia Singles Chart[6] 7
Canadian Singles Chart[7] 13
Canadian Adult Contemporary Chart[8] 1
Dutch Singles Chart[9] 7
European Singles Chart[10] 2
Finnish Singles Chart[11] 4
French Singles Chart 6
German Singles Chart[12] 8
Irish Singles Chart[13] 12
Italian Singles Chart[14] 3
New Zealand Singles Chart[15] 7
Norwegian Singles Chart[16] 3
Spanish Singles Chart[17] 7
Swedish Singles Chart[18] 2
Swiss Singles Chart[19] 5
UK Singles Chart[20] 12
U.S. Billboard Hot 100[21] 6
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[22] 1
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks[23] 5
U.S. Billboard Hot Dance Singles Sales[24] 7
U.S. Billboard Hot Latin Pop Airplay[25] 19
U.S. Billboard Latin Tropical Airplay[26] 17
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[27] 40
U.S. Billboard Top 40 Mainstream[28] 3
U.S. Billboard Top 40 Tracks[29] 3

Marejeo

hariri
  1. Glatzer, Jenna (2005). Céline Dion: For Keeps. Andrews McMeel Publishing. ISBN 0-7407-5559-5.
  2. "Céline Dion". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-13. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  3. Australian Singles Chart
  4. Austrian Singles Chart
  5. Belgian Flanders Singles Chart
  6. Belgian Wallonia Singles Chart
  7. Canadian Singles Chart
  8. "Canadian Adult Contemporary Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  9. Dutch Singles Chart
  10. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  11. Finnish Singles Chart
  12. German Singles Chart
  13. "Irish Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  14. "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-01. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  15. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-02-13. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  16. "Norwegian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  17. Spanish Singles Chart
  18. Swedish Singles Chart
  19. Swiss Singles Chart
  20. UK Singles Chart
  21. "Billboard Hot 100". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-06. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  22. "Hot Adult Contemporary Tracks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  23. "Hot Adult Top 40 Tracks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  24. "Hot Dance Singles Sales". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-12. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  25. Hot Latin Pop Airplay
  26. Latin Tropical Airplay
  27. Rhythmic Top 40
  28. "Top 40 Mainstream". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
  29. "Top 40 Tracks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.