The Best of Michael Jackson

The Best of Michael Jackson ni kompilesheni ya vibao vikali vya mwanamuziki Michael Jackson na ilitolewa mnamo mwaka wa 1975 na studio aliokuwa akifanyanayo kazi hapo zamani, Motown. Imeuza nakala milioni 2.2 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika nafasi ya arobaini-nne nchini Marekani hasa kwenye chati za R&B.

The Best of Michael Jackson
The Best of Michael Jackson Cover
Greatest hits ya Michael Jackson
Imetolewa 1975
Imerekodiwa 1971–1974
Aina Soul
Lebo Motown
Mtayarishaji Berry Gordy, Hal Davis, Mel Larson, Jerry Marcellino, The Corporation, Brian Holland, Sam Brown na Bob Gaudio
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Forever, Michael
(1975)
The Best of Michael Jackson
(1975)
Off the Wall
(1979)


Orodha ya Nyimbo

hariri
  1. "Got to Be There"
  2. "Ben"
  3. "With a Child's Heart"
  4. "Happy" (kutoka katika Lady Sings the Blues)
  5. "One Day in Your Life"
  6. "I Wanna Be Where You Are"
  7. "Rockin' Robin"
  8. "We're Almost There"
  9. "Morning Glow"
  10. "Music and Me"
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Best of Michael Jackson kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.