Forever, Michael
Forever, Michael ni albamu ya nne kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson. Albamu ilitolewa na Motown mnamo tar. 16 Januari katika mwaka wa 1975.
Forever, Michael | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 16 Januari 1975 | ||||
Imerekodiwa | 1974 | ||||
Aina | R&B, soul, pop/rock[1] | ||||
Urefu | 33:08 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Edward Holland, Jr., Brian Holland, Hal Davis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
Orodha ya nyimbo
hariri- "We're Almost There" (Holland/Holland) – 3:42
- "Take Me Back" (Holland/Holland) – 3:24
- "One Day in Your Life" (Armand/Brown) – 4:15
- "Cinderella Stay Awhile" (Sutton) – 3:08
- "We've Got Forever" (Willensky) – 3:10
- "Just a Little Bit of You" (Holland/Holland) – 3:10
- "You Are There" (Brown/Meitzenheimer/Yarian) – 3:21
- "Dapper Dan" (freestyle) – 3:11
- "Dear Michael" (Davis/Willensky) – 2:35
- "I'll Come Home to You" (Perren/Yarian) – 3:02
Marejeo
hariri- ↑ "Forever, Michael". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Forever, Michael kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |