The Doors
The Doors – Jim Morrison, Ray Manzarek, Robby Krieger na John Densmore – walikuwa bendi ya muziki wa rock kutoka nchi ya Marekani.
The Doors | |
---|---|
The Doors, 1966
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Los Angeles, Marekani |
Aina ya muziki | Rock, blues |
Miaka ya kazi | 1965–1973 |
Wanachama wa sasa | |
Jim Morrison, Ray Manzarek, Robby Krieger, John Densmore |
Muziki
hariri- Albamu
- The Doors (1967)
- Strange Days (1967)
- Waiting for the Sun (1968)
- The Soft Parade (1969)
- Morrison Hotel (1970)
- L.A. Woman (1971)
- Other Voices (1971)
- Full Circle (1972)
- An American Prayer (1978)