The Headies Award for Best Vocal Performance (Male)

Tuzo ya Headies kwa Utendaji Bora wa Sauti (Mwanaume) ni tuzo zizotolewa katika The Headies, ni sherehe ambazo zilianzishwa mwaka 2006 na jina la awali iliitwa Tuzo za Dunia za Hip Hop. [1] ambayo iliwasilishwa kwa mara ya kwanza kwa Faze mwaka wa 2006, kitengo mojawapo ni kitengo cha sita ambacho hakipo wazi kwa upigaji kura wa umma. [2] [3]

  1. "The Headies Awards releases Nominees List for 12th Edition". BellaNaija. 13 April 2018. Iliwekwa mnamo 24 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Ben Bassey (13 April 2019). "Davido, Wizkid, Simi lead nominees list". Pulse Nigeria. Iliwekwa mnamo 16 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Winners - The Headies 2006". Hip Hop World Magazine. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-09. Iliwekwa mnamo 24 March 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)